lowale
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 209
- 109
Mimi ni mjasiriamali ninafanya biashara ya barafu .ninauza barafu za kumuunya kwa watoto wa shule .kwa wale vijana wanaotaka kjiajiri ninawauzia barafu kwa bei ya jumla kila moja sh 50 nawao wanauza kwa 100 bado barafu zipo .tutafutane [emoji37] [emoji336] [emoji509] [emoji509] [emoji509] [emoji509] [emoji509] [emoji509] [emoji509]