Kiwanja kipo Kinondo karibu na Bunju A, kina ukubwa wa upana 40 na Urefu wa 40. Kinauzwa kwa Tsh. MIL 15, Maongezi yapo.
Mawasiliano:
0629- 037727
Mkuu umetususa kule kwenye quen monicaukisha uza hakikisha umelipa KOdi na yahapa jf
Futi Na miguu kunatofauti gani?Mita, futi au miguu?