Nawezaje kupata mkopo mdogomdogo mtandaoni au kupata pesa online?

Yusomwasha

JF-Expert Member
Dec 5, 2014
2,092
838
Nawezaje kupata mikopo midogomidogo au pesa ndogondogo chini ya laki 1 online????
Au kutengeneza vihela vidogo vidogo kupata kupitia online
 
tafuta computer nzuri na gpu nzuri anza kuchimba madini, kuna migodi mingi online wanalipa ila kama pc ina specs ndogo hupati hela nyingi.

mfano wa mgodi unaolipa vizuri ni huu hapa ethereum
Ethereum Project
 
Habari zenu wapenzi, Natumai mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. KARIBUNI SANA I CHARITY CLUB.
Tuna kila sababu ya kumshukuru MUNGU kwa ajili ya mema mengi anayotutendea.

Awali ya yote, wote tunafahamu kwa nini tumejiunga na I CHARITY CLUB. Tumejiunga na I CHARITY CLUB kwa Lengo la kujisaidia na kuwasaidia wenzetu kiuchumi kwa njia ya Michango kama mustakabali wa I CHARITY CLUB unavyoelekeza.

Je, toka ujiunge na I CHARITY CLUB umefanikiwa kwa kiwango gani?

Tupo tuliofanikiwa kupitia I CHARITY CLUB, Binafsi nimeshakula matunda (fedha) kupitia I CHARITY CLUB na nimeweza kula matunda hayo kwa sababu NILIMAANISHA.

Kupitia I CHARITY CLUB Unaweza kupata kiasi chochote cha fedha, ndani ya Muda wowote kulingana tu na Target za mtu husika au timu husika. inategemea na watu husika WANAVYOMAANISHA.

Ndugu wanachama, natumai mnafahamu dhima ya I CHARITY CLUB ni kusaidia jamii, jamii husika KUSAIDIANA , KUSHIKANA, KUNYANYUANA au KUVUSHANA KIFEDHA. Kupitia MICHANGO. Kama tunavyofahamu, Kuchangiana si dhambi wala si Kosa kisheria na ndio maana tunachangiana mambo mengi kama harusi, kipaimara, kitchen party n.k. Lakini mambo yote hayo hayana tija yoyote wala manufaa kwa maendeleo ya Jamii zetu na táifa kwa Ujumla. Lait nguvu na fedha nyingi tulizozipoteza kwenye Michango ya harusi na shughuli zingine tungezitumia kwenye kujenga nyumba na kupeana mitaji HAKIKA TAIFA HILI LINGEKUWA MBALI SANA KIUCHUMI.

Hebu tubadikeni wapenzi, hebu tutokeni kwenye mfumo wa Michango inayotuumiza tuhamie kwenye mfumo wa Michango yenye kuleta maendeleo kwetu na Táifa kwa Ujumla, hebu tupende na tuone kwa uhalisia hayo Mafanikio. Sasa Tupo I CHARITY CLUB kwa ajili ya kufanikiwa, Je tunafanikiwaje ? Tutafanikiwa endapo TUTAMAANISHA KUFANIKIWA KWA TUNALOLIFANYA.

KARIBUNI SANA KWENYE MAFANIKIO

Karibu Sana kwenye Mpango Kazi wa kila Mwanachama Kufanikiwa kwa pamoja. Mpango Kazi huu ni upi ? Ni Mpango Kazi ambao
1) Tutafanya Kazi kwa pamoja

2) Tutajikwamua kiuchumi kwa pamoja

3) Tutavuka na kunyanyuana kiuchumi Kwa pamoja.

Sasa wote tunafahamu kuwa unahitaji kushirikisha watu wako wa tano na kuwaunga chini yako, ili wewe uweze ku UPGRADE n.k Wapo waliokuwa Hawajatimiza watu wa 5, la kwa kutokujua, kutomaanisha, kupotoshwa na maneno n.k. Hali hiyo imesababisha kwanza wenyewe wajikoseshe mapato na pili kuwacheleweshea wenzao mapato. Lakini basi kwa Mpango Kazi huu wa mwezi wa 6 LAZIMA WOTE WENYE NIA YA KUFANIKIWA, TUFANIKIWE kupitia mpango Kazi huu.

Nini Nia hasa ya MPANGO KAZI huu?

1) Wanachama wote wa I CHARITY WENYE Nia ya kujikwamua kiuchumi WAJIKWAMUE kupitia mpango Kazi huu.

2) Fedha za UPGRADE zile 250,000 / 2.5 Milioni /25 Milioni / 187.5 Milioni n.k ZIPATIKANE KWA WOTE KWA UHALISIA NA KWA WAKATI MMOJA ili tuzishike fedha hizo kwa wakati mmoja tuzifanyie jambo linaloeleweka kwa wakati mmoja ( kujenga, mitaji, kununua magari, kulima project Kubwa n.k) tofauti na sasa kila mmoja anavyojifanyia peke yake peke yake.

Sasa ili fedha ipatikane kwa wote na kwa wakati mmoja LAZIMA (UPGRADE ZIFANYIKE KWA KUFUATANA) Lazima tufanye Kazi kwa pamoja kama timu.

Na Kazi hii ya pamoja itafanyika kwa Utaratibu huu,

1) Kuanzia Tarehe 4/6/2016 hadi Tarehe 11/6/2016 kila Mwanachama anatakiwa awe amesajili / amefunga watu wake wa tano na ame UPGRADE . ( Hii haina mjadala kama una Nia ya kufanikiwa na kujinyanyua kiuchumi LAZIMA atimize watano wake. Kama huna Nia ya kufanikiwa, kujikwamua kiuchumi, Tafadhari wapishe wenye Nia wafanye Kazi Wape Username na Password yako waku edit siku ukijisikia kuendelea na I CHARITY utatutafuta ila si vyema kuacha mtu asiyefanya Kazi kwenye line coz anazuia mapato ya wenzie, watu wana majukumu, watu wana uhitaji wa fedha SO TUWE SERIOUS jamani .

2) Na aliyetimiza Watano, Tayari ni kiongozi unapaswa kusimamia na kulea hao watano wake na wao wazae watano wao 5 X 5=25 wajukuu ( Ambao hutuletea Tshs 2,500,000 /=) n.k

Sasa basi ndani ya siku 7 hizo tukidhamiria na kumaanisha kutaka kupata fedha hizo ni wote tukitimiza watano wetu na watano wetu watimize watano wao kwa wakati mmoja na UPGRADE zifanyike kwa wakati mmoja tutapata fedha namna hii ndani ya siku 7 kwa wakati mmoja.

5 X 50,000 = 250,000/=

25 X 100,000 = 2,500,000/=

125 X 200,000= 25,000,000/=

625 X 300,000= 187,500,000/= na kuendelea.

Tunahitaji hizo fedha hivyo tunahitaji KUMAANISHA, asiyemaanisha please akae pembeni ili twende na wanaoenda.
Sasa ili tupate fedha hizo kwa wakati mmoja LAZIMA, Narudia LAZIMA kila mmoja afanye Kazi ya kutimiza watano wake.

Na hao watano wake atatimizaje?

1) Madarasa yanaendelea Nchi nzima AALIKE WATU WAKE WAKAFUNDISHWE HUKO. Afunge watano wake.

2) Yeye kama yeye aandae watu wake aombe mwalimu akafundishiwe waingie chini yake ( Atimize watano wake)

3) A add watu wake kwenye Magroup ya Mafunzo yanayoendelea wafundishwe wajiunge chini yake ( Atimize wa tano wake)

4) Aandae madarasa ya Online afundishiwe (Atimize wa tano wake)

5) Anaweza kuwasiliana na Upliner wake akampa namba Za watu wake aongee não / amfundishie watu wake kwa simu ( Atimize wa tano wake)

Njia za kupata watano zipo nyingi ila hata kwa hizo 5 hapo juu LAZIMA mtu upate watano wako. Labda Uwe HUJAAMUA TU. Na Kama hujaamua tu tutaomba UTUPISHE TU, Uwaache wenye kutaka fedha wapige Kazi.

Wapenzi fedha hizi hapa ni sisi tu KUAMUA na KUMAANISHA, Hizi siku 7 kuanzia kesho za sehemu ya kwanza ya Mpango Kazi huu, Nataka kila mmoja akipata kiwango cha chini iwe milioni 5.

Mnisamehe kwa sms ndeeefu kama ngazi, Nia yangu wote tufanikiwe, wote tupate fedha tu solve issues zetu na ku invest kwa ajili ya kesho zetu na za família zetu na Táifa kwa Ujumla.

So MPANGO KAZI wetu ni TIMIZA WATANO, UPGRADE na MWENZIO A APPROVE ndani ya siku 7 hizi.

Hiyo ni PART 1, Kila mmoja apate fedha, baada ya hapo Kuna mpango Kazi Part 2 na 3.

Cha Muhimu KUMAANISHA, Unataka kufanikiwa na I CHARITY CLUB? MAANISHA


PART 2.............0766055606 whatsapp tutafutane ukitaka kujiunga
 
maarufu zaidi ni bitcoin lakini sasa hivi naona kumechacha watu wengi wanasema hakuna kitu na kuna huo nilioutaja hapo juu.

kwa ujumla hizi zinaitwa cryptocurrency wikipedia wanasema jumla zipo 699 zicheki hapa

List of cryptocurrencies - Wikipedia, the free encyclopedia

ila sio ujanja kutafuta ambazo sio maarufu, hizo maarufu ndio zina madini.mengi google zaidi
...Chief,unaendelea kuilinda heshima yako hapa JF!...huwaga huna uchoyo wa 'madini'
...ubarikiwe sana!
 
safi saana brother ila umeniacha mbaaali saana kuchimba madini? naomba elimu kidogo ktk hili

kuelewa inabidi ujue concept ya bank na jinsi hela zinavyoingizwa kwenye mzunguko. benki kuu wanaenda kuzichapa hela huko ughaibuni na kuja kuziingiza kwenye mzunguko hii benki kuu inakuwa inacontrol na hizi hela wanaamua muda gani waongeze hela kwenye mzunguko na mda gani wapunguze kutokana na bidhaa zinavyonunuliwa na kuuzwa kiufupi huu mfumo unakuwa centralized.

cryptocurrency kama bitcoin inakuwa ni viceversa ya huo mfumo wa bank wenyewe hawa control hizo hela bali wameeka hio migodi watu wachimbe, hao wanaochimba ndio wanaoingiza hela kwenye mZunguko na hakuna mtu anaezimiliki wala ambae ana mamlaka ya kuzisambaza.

tuje kwenye swali lako, hio migodi ni mathematical question yaani hizo coin zinapatikana pale unapo solve maswali magumu sana ya hesabu. nilisoma mahala software ya sasa zipo bitcoin milioni 21 na kila coin moja imegawanyika hadi milioni 100. mfano unit moja inaitwa satoshi yenyewe ni 1/100,000,000 (moja ya milioni mia) hivyo ukizidisha hapo kuna unit nyingi sana matrilion.

jinsi watu wanavyozichimba ndio jinsi zinavyopungua na ndio jinsi zinavyoenea duniani.

soma zaidi hapa
Controlled supply - Bitcoin Wiki

hivyo hio migodi ni mahesabu tu na jembe lako ni computer, jinsi ulivyo na computer yenye nguvu ndio utafanya mahesabu mengi ndio utakavyokuwa na chance kubwa ya kuzipata
 
kuelewa inabidi ujue concept ya bank na jinsi hela zinavyoingizwa kwenye mzunguko. benki kuu wanaenda kuzichapa hela huko ughaibuni na kuja kuziingiza kwenye mzunguko hii benki kuu inakuwa inacontrol na hizi hela wanaamua muda gani waongeze hela kwenye mzunguko na mda gani wapunguze kutokana na bidhaa zinavyonunuliwa na kuuzwa kiufupi huu mfumo unakuwa centralized.

cryptocurrency kama bitcoin inakuwa ni viceversa ya huo mfumo wa bank wenyewe hawa control hizo hela bali wameeka hio migodi watu wachimbe, hao wanaochimba ndio wanaoingiza hela kwenye mZunguko na hakuna mtu anaezimiliki wala ambae ana mamlaka ya kuzisambaza.

tuje kwenye swali lako, hio migodi ni mathematical question yaani hizo coin zinapatikana pale unapo solve maswali magumu sana ya hesabu. nilisoma mahala software ya sasa zipo bitcoin milioni 21 na kila coin moja imegawanyika hadi milioni 100. mfano unit moja inaitwa satoshi yenyewe ni 1/100,000,000 (moja ya milioni mia) hivyo ukizidisha hapo kuna unit nyingi sana matrilion.

jinsi watu wanavyozichimba ndio jinsi zinavyopungua na ndio jinsi zinavyoenea duniani.

soma zaidi hapa
Controlled supply - Bitcoin Wiki

hivyo hio migodi ni mahesabu tu na jembe lako ni computer, jinsi ulivyo na computer yenye nguvu ndio utafanya mahesabu mengi ndio utakavyokuwa na chance kubwa ya kuzipata
ASANTE SAANA BROTHER
 
1467576473619.jpg
910e086c6634c019f8ffd16ecffbe16f.jpg
 
Back
Top Bottom