Nauza alizeti ambazo hazijakamuliwa

Magunia 10 na kuendelea
Umeulizwa unayo magunia mangapi? Ukisema kumi na kuendelea maana yake yanawezafika hata 100. Kama hiyo alizeti haipo kwenye magunia ungekadiria, mfano ungewezasema magunia kati ya 10-15
 
Sema una gunia ngapi endapo umeshapima.

Upo wapi. PM ya kazi gani mkuu kwani haya madawa ya kulevya??
 
Umeulizwa unayo magunia mangapi? Ukisema kumi na kuendelea maana yake yanawezafika hata 100. Kama hiyo alizeti haipo kwenye magunia ungekadiria, mfano ungewezasema magunia kati ya 10-15
Ambayo yapo packed ziko kumi mengine bado hayajawa packed ndo maana nimesema hivyo.

Hata hivyo nashukuru kwa ushauri wako mkuu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom