Mikopo kwa watumishi wa umma

sanjally1

Member
May 9, 2015
70
66
habari za muda huu,naitwa ally salim kutoka African Capital limited,ni kampuni inayojishughulisha na kutoa mikopo ya haraka zaidi(24 hrs) kwa watumishi wa serikali,halmashauri za manispaa na kampuni zilizothibitishwa,tunatoa mikopo kati ya laki 2 hadi milioni 10 kwa marejesho ya kati ya miezi 6 hadi miezi 60.riba yetu ni nafuu sana 3.5% ya kiasi ulichokopa kwa mwezi.kwa mfano,mkopo wa laki 5(500,000) utarudisha laki 6(600,000) tu kwa miezi 6 ambapo makato yake ni laki moja(100,000) kila mwezi,na mkopo wa milioni 1(1,000,000) utarudisha milioni 1 na laki 2 tu kwa miezi 6 ambapo makato ni laki 2 kila mwezi. pia TUNANUNUA MADENI ya mikopo kutoka mabenki na taasisi nyingine na tunazingatia 1/3 ya mshahara wa mtumishi husika,kwa sasa tuna branch mkoa wa dar es salaam ambayo inawahudumia watumishi wa mkoa huu na maeneo ya karibu kama maeneo yote ya mkoa wa pwani.unachohitaji kuwa nacho ni
1}salary slip zako 2 original za mshahara wako kutoka hazina
2}kopi ya kitambulisho cha kazi
3}bank statement yako ya miezi 3 iliyopita
4}picha moja ya passport na
5}kopi ya kitambulisho cha kupiga kura au uraia
wasiliana nasi kupitia +255719568369 au 0769475868 kwa mawasiliano zaidi.karibuni sana

Note: mikopo hii ni kwa watumishi wa umma pekee.
 
ACHA KUDANGANYA WATUMISHI AMBAO HAWAJASOMA HESABU.

1.RIBA HUHESABIWA KWA MWAKA NA SII KWA MWEZI ( PER UNNUM)

2. RIBA ULIOIANDIKA 3.5 KWA MWEZI NI KUBWA SANA NA NI ASILIMIA 42 KWA MWAKA

4. ASILIMIA 42 KWA MWAKA NI KINYUME KABISA NA MWENGOZO WA BENKI KUU ULIOTOA KWA TAASISI ZINAZOKOPESHA RIBA YAO ISIZIDI ASILIMIA 12 KWA MWAKA. HIVYO KAMA UNA CULCULATE KWA MWEZI MLITAKIWA MUWE NA RIBA YA 1% NA HAPO WALA USINGESEMA NI RAHISI KWA SABABU NDIO MWONGOZO UNGESHUKA CHINI YA HAPO NDIO UNGEANDIKA RAHISI.
 
Hawa jamaa ukiwasikiliza mdomoni unaweza jua ni malaika. Lakini ni mashetani wabaya sana. Unaficha ukubwa wa riba kupitia miezi, kwa nini usiseme riba yetu kwa mwaka ni 42%. Tambua asimia kubwa ya matumishi hukopa mikopo ambayo hurudishwa kwa muda wa kuanzia mwaka 1 hadi 5. Kwahiyo kwa riba yenu ni uangamizaji kwa watumishi.
 
Wakuu!!! Inamaana nyie hamuwajui wafanya biashara? Tangu lini mfanya biashara akawa wazi?

Tuwe makini
 
Nyie mnapenda dhuruma sana yaani riba 3.5% kwa Mwaka ni 42%, mjinga anayekopa kwenu atalazimika kulipa karibia mara mbili ya kiasi alichokopa.
 
Riba ni kubwa kuliko Maelezo! Saccos yangu inatoa riba ya 1.6% kwa mwezi! NMB wanatoza pungufu ya 3% kwa mwezi!
Hata iyo saccoss yenu mko juu. Saccos zinatakiwa zisizidi 8% kwa mwaka ambayo ninyi mnaohesabu kwa mwezi ni 0.6% ili kuzitofautisha na mabenki na taasizi binafsi za kifedha ambazo kwa huu mwongozo mpya wa B.O.T wanatakiwa wasizidi 12% kwa mwaka au 1% kwa mwezi. Sasa ninyi ni saccos tuu mna 19.2% kwa mwaka?
 
Back
Top Bottom