Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Tunauza na kutuma vifaa vya simu kama vile screen protector, charger, cover, housing, n.k kama uko mkoan na unahitaji tafadhali ni p.m Huduma hii kwa mikoa ya kusini pekee yaan lindi na Mtwara...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyumba inauzwa ipo tabata baracuda ~Ina vyumba vitatu kimoja ni master ~Sebule ~Store ~Jiko Bei mil 75 Nb; Nyumba ni mpya
0 Reactions
53 Replies
8K Views
Ram 3gb Hdd 250 Processor 2.17 Haikai na chaji
0 Reactions
5 Replies
749 Views
HTC M7 = 290000/= HTC M8 (Hongkong) = 360000/= HTC M8 (U.S.A) = 350000/= HTC M9 = 470000/= HTC M9(ME) = 430000/= HTC A9 = 580000/= HTC 826 = 380000/= HTC 820 = 339000/= HTC 816 =...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Karibuni Sana, Tunauza Vifaranga na Kutotoresha Mayai Kuku wa Kienyeji na Chotara, Eneo ni Gongo la Mboto. Jiunge Nasi kupitia Kundi la whatssap au tupigie 0758880131 Utapata Mafunzo Kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Natafta gari ndogo ambayo ulaji wa mafuta uwe mdogo iwe Carina au premio ofa yangu ml 4500, 000/=
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Twende Pamoja Mikumi National Parks (Kwenda 01/04/2017 na Kurudi 02/04/2017) kwa gharama ya Tshs. 80,000/= tu kwa Single na 140,000/= kwa couples. Gharama hii imejumuhisha gharama za...
1 Reactions
29 Replies
4K Views
Kama sikosei mwanzoni mwa January mwaka huu nilitoa tangazo hapa kuhusu mafunzo ya maarifa ya kazi ... sijaona mtu ametuma e-mail kwa ajili ya application. Sasa naweka mambo wazi hapa. ... Mafunzo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Salaam wana JF Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
590 Views
Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavo jieleza, nina shida na bettry ya iphone 5s mpya na bora ya kununua kwa ajili ya sim yangu kwa maduka ya Dar naweza pata wapi au delers wa apple kwa Dar...
0 Reactions
2 Replies
801 Views
je unahitaji kuscan document,picha au chochote kile(picha ya ukutani,sakafu)? basi nunua scanner hii ambayo inatumia bettry na inascan chochote na kuihifadhi kwenye memory card. utaweza...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Nahitaji Gari ya kununua iwe Toyota SPACIO, ISIS, SIENTA AU RAUM. Iwe na hali Nzuri engine na body kama umeipiga Rangi usinitafute. Offer yangu 6m. PM NAMBA YAKO AU WEKA HAPA KAMA HUOGOPI WASUMBUFU
0 Reactions
7 Replies
1K Views
La watu wawili linauzwa 160,000 Hilo single linauzwa 80,000 Toka kigamboni Yako na hali nzuri kama unavyoona __________________________________ Bango
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mwenye mark 2 grande 0.2 naitaka ofa million mbili (2,000,000) Iwe nzima bila tatizo lolote na inaweza kusafiri kupelekwa kanda ya ziwa
0 Reactions
4 Replies
2K Views
New hp laptop ram 2gb hdd 160 Dual core i2 betre 3hrs dvd rom wifi bluetooth size 14.1 finger print offer 285000 only one remains 0652245773
0 Reactions
5 Replies
897 Views
Natafuta simu ya smart ya laki na kumi mwenye kuuza anichek ,(110000)
0 Reactions
5 Replies
989 Views
wakuu nahitaji hiyo simu kwa mwenye nayo anicheki Pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta chumba maeneo ya tandika kwa mama kibonge. Chumba cha kawaida tu.. Kiwe na umeme, maji will add advantage
0 Reactions
5 Replies
950 Views
gari aina ya rav 4 old model 1999 nahitajika burget ml10
0 Reactions
1 Replies
673 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…