Nanunua Green House

Nanunua Green House

KIJANA2013

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2013
Posts
466
Reaction score
201
Salaam wana JF

Naomba kurudia kwa mara ya pili kwa wale ambao wako serious kibiashara. Kwa yeyote anayeuza Green House, ziwe zilizotumika lakini ziko hali nzuri au hata kama ni mpya, tafadhali naomba awasiliane na mimi. Kumekuwa na tabia kuja inbox bila kuacha mawasiliano ya simu. Contacts za muhusika ni muhimu sana.

Nawasilisha
 
Namba za simu watu hawaachi kwani kuna manyoka...ukishajua namba yangu ya simu kumbe shida yako siyo green hse bali ni thread yangu niliyoianzisha....binafsi yameshanikuta
 
Namba za simu watu hawaachi kwani kuna manyoka...ukishajua namba yangu ya simu kumbe shida yako siyo green hse bali ni thread yangu niliyoianzisha....binafsi yameshanikuta
naomba kuwasiliana na wewe inbox
 
Back
Top Bottom