sizonjemadawa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 1,052
- 1,306
Tunauza na kutuma vifaa vya simu kama vile screen protector, charger, cover, housing, n.k kama uko mkoan na unahitaji tafadhali ni p.m
Huduma hii kwa mikoa ya kusini pekee yaan lindi na Mtwara
pesa utalipa baada ya mzigo kukufikia,
Unachotakiwa kufanya ni kunipm kisha nakukutanisha na wakala wangu kwa mikoa ya Lindi na Mtwara, unaniambia list ya bidhaa unazotaka then mimi namtumia wakala wangu unamlipa yeye ananitumia mm pesa
Kama unajitaji bidhaa nyingine tofauti na mobile accessor ni pm pia kwa kuondoa usumbufu wa kuja dsm na kurud mkoani
Note
Napokea order kuanzia pcs 100 na bei ni rahisi mn