babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,299
Wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavo jieleza, nina shida na bettry ya iphone 5s mpya na bora ya kununua kwa ajili ya sim yangu kwa maduka ya Dar naweza pata wapi au delers wa apple kwa Dar wanapatikana wapi.
Msaada tafadhalini wakuu.