Nataka Gari mark 2 grande 0.2 ya kununua

impongo

JF-Expert Member
Feb 18, 2015
8,755
7,684
Mwenye mark 2 grande 0.2 naitaka ofa million mbili (2,000,000)
Iwe nzima bila tatizo lolote na inaweza kusafiri kupelekwa kanda ya ziwa
 
Njoo nikupe cresta no B haidaiwi kibali wala chochote ni nzima full ac ,mzuki mnene ,colour nyeusi ,engine six cyclinder ,sport rim bei 3700000fixed njoo na fundi wako kama upo poa namba 0656328286 sababu ya kuuza kuingezea pesa kununua nyingine
 
Mwenye mark 2 grande 0.2 naitaka ofa million mbili (2,000,000)
Iwe nzima bila tatizo lolote na inaweza kusafiri kupelekwa kanda ya ziwa
Broo nitafute nikupe cresta nzuri kwa jamaa yangu amepanda cheo anataka kubadilisha Gari ukii ona utaipenda tu no B no yangu ni 0656328286
 
Back
Top Bottom