Nyumba inauzwa ipo Tabata

Yumbayumba

JF-Expert Member
May 31, 2012
1,239
827
Nyumba inauzwa ipo tabata baracuda
~Ina vyumba vitatu kimoja ni master
~Sebule
~Store
~Jiko
Bei mil 75

Nb; Nyumba ni mpya
00a02b9a0b126d7703126811fd15b158.jpg
cd5cc6322aab957dce72fe66a36e4067.jpg
1ad254928fb60e7b3c0c4bdb896f3ff0.jpg
4f8f792f438e865f192bca99837d21b3.jpg
95583e7744a881066cb7e93a555c68a8.jpg
 
Tenda haki kwa kutuonyesha na ndani pia ni vizuri ukitaja na ukubwa wa eneo, biashara ni ubunifu,
Picha za ndani nitaweka,
Mm sio muandishi mzuri ila lengo limeeleweka nadhani kama mtu yupo serious atataka kuja kuiona sio kudai picha
 
Sasa tutaionaje bila kupata mawasiliano yako,hebu nicheck kwenye namba hii Mimi nataka kuja kuiona 0769784640
 
mkuu ingekua vizur ungeweka details za kutosha kama eneo ni sqm ngapi na pia kiwanja kimepimwa au hakijapimwa ili wateja wafahamu.
 
Picha za ndani nitaweka,
Mm sio muandishi mzuri ila lengo limeeleweka nadhani kama mtu yupo serious atataka kuja kuiona sio kudai picha
Mkuu sinabkengo la kuleta League kama nimekosea kukushauri nisamehe ila acha hiyo tabia mtu anweza kuhitaji ila ushawishi wako ukawa mdogo, haya biashara njema.
 
Mkuu sinabkengo la kuleta League kama nimekosea kukushauri nisamehe ila acha hiyo tabia mtu anweza kuhitaji ila ushawishi wako ukawa mdogo, haya biashara njema.
Kwanza kabisa nimesema picha nitaweka, pili nikasema mm sio muandishi mzuri kwahiyo siwezi kuandika hadi nikamshawishi mtu ila ushauri wako ni mzuri
Pia nikasema kwa mtu ambaye anahitaji kuiona nitampa namba zangu aje tabata baracuda kuiona
Samahani kama nimekukera
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom