Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

.....Kioo cha Tv Sony Bravia inch 32 kinauzwa bei ni 300,000.. Kwa mawasiliano zaidi unaweza kunicheck kwa number 0713 590607... Nipo Dar es salaam
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kiwanja kinauzwa Irnga kwa being ya tsh mil 2.5,lipo eneo nzuri huduma muhimu zipo, kinapatikana mtaa Wa kitwiru karibu na viwanja vilivyopimwa vya manispaa. Mawasiliano 0763024430,,, hakina...
1 Reactions
0 Replies
818 Views
Habari zenu!!! Naomba kujua bei ya laptop yenye sifa hizi kwa wajuzi wa biashara ya laptop Aina: Hp elitebook 2540p Muundo: Mini laptop Processor: Core i7 RAM: 4.00GB System type: 64-bit Operating...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari JF! Ninatafuta simu aina ya sony ericson C902. Aliyetayari anicheki kwa 0652112026
0 Reactions
4 Replies
881 Views
Habari zenu wakuu Natumai wazima kabisa, poleni na majukum ya kulijenga taifa Kama kichwa ninavyojielezea nahitaji laptop iwe used ambayo haijachoka sana lakini au mpya SPECIFICATION 1. AINA...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Hatimaye kwa wote wenye uhitaji wa Kitabu kizuri kwa maana kinachofafanua hatua kwa hatua namna ya utengenezaji wa bidhaa mbalimbali za Viwandani Na utotoleshaji wa Vifaranga vya kienyeji kwa...
0 Reactions
0 Replies
815 Views
NIPO TUKUYU-MBEYA Natafta wa kufanya nae exchange nina pesa taslimu jumlisha na simu (NOKIA-LUMIA 520) Nahitaji laptop ya wastani.. Kwa mwenye nayo serious ani watsap kwa 0676227858. Karibuni...
0 Reactions
0 Replies
652 Views
Nauza vitunguu maji vipo Kilimanjaro wilaya ya mwanga ziko gunia 300 kila gunia 70000 kwa anaehitaji 0715501842
1 Reactions
0 Replies
942 Views
Tunauza Viatu vya kimasai original kutoka Mombasa ! Tunauza kwa jumla na reja reja ! Jumla elf 15,000 kuanzia pea 5 Reja reja elf kuanzia elf 20,000! Viatu vyetu ni original a na imara kabisa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ukubwa: mita 17x10 Location: cheki point kama mita 30 kutoka barabarani ,maeneo ya dampo. Maji na umeme vyote viko karibu Bei: 3.5M (Fixed price) hakuna dalali. Call: 0674057335 only if your...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Toyota Ractis 2006.... Cc 1490.... Km 80000..... Ufunguo Gray... Full Body kit... Reem Sport... Gari Haidaiwi Vibali.... Na Wala Haigongi Chini... Matairi Mapya Kabisaaa... Inataka Milion...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Picha zinajieleza zaidi Ina vyumba vitatu chini, viwili juu +parking + maji +umeme, kila chumba na choo chake, dining na sebule kubea,stoo na bustani Ipo Kigamboni Kibada km 10 toka Ferry...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Naitafuta hiyo simu iwe dual sim. Anayejua duka ilipo tafadhar kat ya dar, mwanza, kagera.
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Salamu wakuu, naomba mwenyeji ama mwenye uelewa na mji wa Morogoro, ni sehemu Gani nzur kujenga kwa Sasa na vipi upatikanaji wa viwanja? Kwa ukubwa wa ekari moja ivi? Maji na Vifaa vya Ujenzi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, matumaini yangu kuwa hamjambo na mnaendelea na majukumu ya kusukuma gurudumu la maisha. Nisingependa kuweka personal life yangu hapa, sema imenibidi kulingana na hali halisi...
2 Reactions
31 Replies
4K Views
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa. Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto...
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Wakuu kama kuna mtu AU nduguyo anahitaji MACHINE ya aina yeyote ile, tuwasiliane hapa hapa JF nitampa mwongozo wa jinsi ya kunipata au kuipata, kwa aliye serious anitumie mawasiliano yake kwenye...
0 Reactions
51 Replies
22K Views
Habar zenu wakuu... mimi ni kijana ambaye nimeamua kujiajili kutoa huduma ya umesenja mkoani mbeya, huduma zangu ni 1-kupeleka nyaraka(documents) ndani ya mbeya 2-kutuma nyaraka au mzigo nje ya...
0 Reactions
0 Replies
668 Views
RAV4 milion 7.5.GARI IMENYOOOKA FULL VIBALI FULL AC CHINI IMEKAZA GARI sio ya kuiacha ukihtaji RAV4. Call 0755155782
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kesho 3.3.2017 nitakuwa mubashara Atv ya Abood Media kuelezea ubunifu na ugunduzi wa mashine ya chaki na Mradi wa Kiwanda cha chaki Niliufanya baada ya kuanzisha Taasisi ya KITAAvation ambayo...
0 Reactions
3 Replies
949 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…