Nauza kiwanja bei ya kutupa kipo madale

Nauza kiwanja bei ya kutupa kipo madale

Chambuso2017

Member
Joined
Feb 14, 2017
Posts
50
Reaction score
22
Kipo Madale kwa Kawawa, kilometer moja kutoka Barabara ya Madale ilipo nyumba ya Mzee Kawawa.

Kina ukubwa wa hatua 25x25. Kipo kwenye makazi ya watu na kina nafasi za kutanuka kulia na kushoto, sio rahisi mtu kuja kununua hizo mana ni ndogo ni mimi ndo ninayetakiwa kuzichukua tatizo fedha. Kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Nahitaji pesa haraka.

Bei Shilingi Milioni saba, mimi mwenyewe ndiyo mmiliki lakini sijakikatia hati bado. Kwa maelezo zaidi nicheki PM nikupe namba yangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom