Kesho kuanzia saa 12:30 asubuhi, Nitakuwa "LIVE" Atv(Abood Television).

Singidan

JF-Expert Member
Aug 24, 2015
880
937
Kesho 3.3.2017 nitakuwa mubashara Atv ya Abood Media kuelezea ubunifu na ugunduzi wa mashine ya chaki na Mradi wa Kiwanda cha chaki Niliufanya baada ya kuanzisha Taasisi ya KITAAvation ambayo miradi tajwa ni moja ya miradi ambayo ipo chini yake. KITAAvation ni taasis mpya kabisa ambayo imelenga kuchunguza changamoto za mitaa na kuzigeuza kuwa fursa kupitia mawazo bunifu ya vijana.
 
Back
Top Bottom