Natafuta kiwanja Morogoro mjini

Wise Sister

Member
May 27, 2014
52
51
Salamu wakuu, naomba mwenyeji ama mwenye uelewa na mji wa Morogoro, ni sehemu Gani nzur kujenga kwa Sasa na vipi upatikanaji wa viwanja? Kwa ukubwa wa ekari moja ivi? Maji na Vifaa vya Ujenzi vinapatikana kwa urahis? Nijuzeni mwenzenu nataka kupafanya makazi yangu ya kudumu hapo. Nitashukuru Sana kwa watakaochangia, Mungu na awabariki nyote.
 
Kuna sehemu inaitwa mkambarani viwanja vipo ila havijapimwa
 
Back
Top Bottom