Nahitaji Laptop aina ya HP

Oluwa ni

JF-Expert Member
May 24, 2015
717
445
Habari zenu wakuu

Natumai wazima kabisa, poleni na majukum ya kulijenga taifa

Kama kichwa ninavyojielezea nahitaji laptop iwe used ambayo haijachoka sana lakini au mpya

SPECIFICATION
1. AINA IWE HP AU TOSHIBA
2. RAM IWE KUANZIA 3GB ALAFU HHD KUANZIA 300GB
3. HATA KAMA NI USED ISIWE MBOVU
4. IWE 64-BIT
5. BEI YANGU 300K KAMA MTU ANAYO ZAIDI YA HIYO BEI ASIJE #PM

AMBAYE ANAHITAJI TUFANYE BIASHARA AJE PM..........

ASANTE SANA WAKUU
 
Ipo hp
Core i5
Ram 4gb
Hhd 500gb
Procs 2.5ghz
64bit
Btri 3hr
Bei 450 cash
7f71aa3537aad805a1735c191f383461.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom