Msaada: bei ya laptop mpya na used aina ya Hp Elitebook

uzeebusara

JF-Expert Member
Apr 15, 2013
657
514
Habari zenu!!!
Naomba kujua bei ya laptop yenye sifa hizi kwa wajuzi wa biashara ya laptop
Aina: Hp elitebook 2540p
Muundo: Mini laptop
Processor: Core i7
RAM: 4.00GB
System type: 64-bit Operating system
HDD:232GB
Naomba kujua bei yake katika hali zifuatazo:
A. Ikiwa mpya kabisa bei gani
B. Used bei gani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom