eneo liko mbele ya kibada kigamboni vituo vya mbele unashuka mwembe mtengu then unatembea kuelekea kushoto kama dakika 15, maji yapo umeme wa kuvuta kama nguzo moja....barabara yakushuka ni ya vumbiMwembe mtengu ndo wapi mkuu? Elezea vizuri mkoa na wilaya na sifa za eneo mfano upatikanaji wa maji, umeme, barabara na miundo mbinu mingine muhimu na usalama wa eneo. Utampata mteja haraka sana