Nahitaji kutengenezewa mifuko ya plastiki

Boro_yank

Member
Mar 8, 2017
27
6
Jamani msaada kwa anae jua nauliza kampuni inayohusika na kuprint mifuko ya naylon kwaajiri ya kufungia bidhaa
 
Duuh...saa9 hii unataka msaada?
Lakini hiyo issue ni ndogo sana waweza kwenda Lugumi limited wapo kariakoo karibia na jengo la yanga.
 
muwe mnaweka number zenu za simu , unataka ku perk nini? ok nipigie 0755 099 291
 
Upo serious kweli...??? Ina maana hata kumtumia meseji huwezi kwa sababu yupo na simu ya voda?? Au kupiga tu dakika moja akakupa direction ili uende ukamuone..??

Isije na gharama za kuprint ukamkopa jamaa
Unafaa sana kwenye maigizo wewe nenda kwenye bongo comedy
 
Ach
Unafaa sana kwenye maigizo wewe nenda kwenye bongo comedy

Acha mipasho umepewa ukweli, unachagua namba ya simu hata hiyo biashara utaimudu kweli,
Kuna lezako lingine huku lilikuwa linajidai linataka maziwa lita mia kila wiki, kumbe hana lolote maziwa yanapakiwa kumsubiri analeta ngonjera za ajabu.
Mnaboa sana na kama unataka namba tigo tafuta ile ya chuo kabisa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom