Nauza Asali Mbichi

Chichi09

Member
Apr 5, 2012
56
13
Nauza Asali mbichi kwa Jumla na Reja Reja Asali nzuri mm siongei maneno mengi Nipo Kimara Kwa mawasiliano 0654 735273
 
Nauza Asali mbichi kwa Jumla na Reja Reja Asali nzuri mm siongei maneno mengi Nipo Kimara Kwa mawasiliano 0654 735273
Mbona kama unajishuku hivi, huna maneno mengi kiaje tena?

Hiyo asali ni ya nyuki wakubwa au wadogo?
 
UJAWEKA BEI WALA HUJAWEKA PICHA YA HIYO AASALI HALAFU TENA TANGAZO LAKO HAILIELEWEKI MKUU HEBU WEKA TANGAZO VIZURI
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom