INAUZWA DISH SAVERS(ya kuhifadhia chakula)- kama ya kwenye Bufee.

ligavan

JF-Expert Member
Mar 25, 2017
267
555
Wakuu nauza dish savers, ziko mbili, kila moja ni 150,000tshs pungufu unaongea.



Nimezitumia kwa muda mfupi sana hivyo bado mpya kabisa, zinadai, Nilikua nazitumia kwenye mgahawa wangu ila sasa nabadilisha biashara.

Alieserious aniPM tufanye biashara, napatikana Bunju A.

Picha nimeshindwa Kuupload.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom