SAMSUNG FLATSCREEN

uaminifukazi

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
1,465
912
Nauza Samsung flat screen ipo ya 32inch ledtv h4100, ina mwaka mmoja, Bei 500000.
Na ipo Samsung ya 55inch, ledtv j5100, series 5 ina miezi 9. Bei 1.5m nakupa na lisiti yake.
a3410a19b746edd87cee7e64fd907b3e.jpg

8c5b5ccfece12fcd40ef5959ec6d2484.jpg

480ecb673cae95a4dc0238d98ce7e108.jpg
 
Ndo bei ya mpya kwa Abdulwahid yuko humu anauza hizo
Punguza bei mkuu
32inch dukani ni laki 6.5 na 55inch dukani ni 2.2milion mkuu. Hizi hata nikikuletea bado mpya kwani hazijatumika kiivo. Labda we sema unataka ipi tuelewane kwani kupunguza inawezekana.
 
Tangazo linaonyesha kuwa hizo tv zilikuwa katika matumizi. Kwanini unauza? Hofu yangu isije ikawa tayari zimepata ubovu.
 
Nakuhakikishia kuwa nakuuzia Mali nzuri isiyo na shaka. Nilihamishwa kikazi nikafunga nyumba na kuondoka. Nimepata likizo ndo nataka niuze hizi tv ili niweze kutatua shida zangu. TV zote bado zina mng'ao kama ndo zimetoka dukani Leo kwani muda mwingi nilikua sikai nyumbani kuziangalia. Nina kila sababu ya kuziita mpya.
 
32inch dukani ni laki 6.5 na 55inch dukani ni 2.2milion mkuu. Hizi hata nikikuletea bado mpya kwani hazijatumika kiivo. Labda we sema unataka ipi tuelewane kwani kupunguza inawezekana.
Ni series gani? ni LED au LCD?
 
K
Nauza Samsung flat screen ipo ya 32inch ledtv h4100, ina mwaka mmoja, Bei 500000.
Na ipo Samsung ya 55inch, ledtv j5100, series 5 ina miezi 9. Bei 1.5m nakupa na lisiti yake.
a3410a19b746edd87cee7e64fd907b3e.jpg

8c5b5ccfece12fcd40ef5959ec6d2484.jpg

480ecb673cae95a4dc0238d98ce7e108.jpg
Kaka usitoe lisiti tafadhal,italeta shida we toa (risiti)stakabadhi au" Receipt"
 
Back
Top Bottom