Kwa afya bora tumia kifaa cha energy cup

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,753
9,572
AFYA BORA

Wakati mwingine tunajiletea maradhi pasipo kufuata kanuni za Afya

Wengi wetu hatuna desturi ya unywaji wa maji yaliyo salama na safi,
Watalaamu wanatushauri tuzingatie afya zetu kwa kunywa maji safi na salama ya maji yaliyopimwa au kuchujwa vizuri ili kulinda afya zetu na magonjwa mbalimbali yatokanayo na maji yasiyosalama.

Energy cup (chupa) ni kifaa maalum kilichotengenezwa kuweza kuua bacteria wanaosababisha maradhi katika mwili. Kifaa hichi kinabalance Ph kwenye maji na kuyafanya kuwa salama na safi kwa afya zetu. Hukuhakikishia ubora na usalama wa maji unaokunywa.
vilevile kifaa hichi kinakukinga na magonjwa ya kansa.
Husaidia kujenga na kuamsha kinga katika mwili.

Ikiwa utakihitaji kifaa hichi (Energy cup) basi usiisite kunipigia simu no. 0653 287784 Nitext tu mpendwa nikuletee chupa hii inauzwa kwa bei nafuu kwa afya bora na salama au karibu kituo chetu ETERNAL INTERNATIONAL DAR ES SALAAM TUPO KAWE KARIBU NA TANESCO
 

Attachments

  • energy cup.jpg
    energy cup.jpg
    12.8 KB · Views: 48
sh 110,000/= kwani kifaa hichi utatumia ndani ya miaka 8 ndipo kitaexpire hivyo ni kizuri sana kwa maji salama na safi
Inauaje bakteria?

Namaanisha inafanyaje kazi ya kuua hao bakteria? Ni kwamba ilinyunyiziwa dawa itakayodumu kwa miaka 8?

Kweli sijaelewa hapo.
 
Kikombe chenyewe kidoogo hata kiu haiishi halafu bei kuubwa
KINA UWEZO WA KUBALANCE HP YA MAJI UKIWEKA KWENYE HICHO KICHUPA KWA DK5 UTAONDOA HAYO MAJI KISHA UTAMIX KWENYE UJAZO WA LITA 20 KWA DK15 HAPO UTAPTA MAJI SALAMA NA SAFI KWA KUNYWA SIO CHUPA NDOGO ILA MATUMIZI YAKE NI MAKUBWA NDUGU NADHANI HUKUELEWA VIZURI
 
Kwa hiyo kila mwaka ni tsh. 13,750 (kwa sauti ya kichumi)
MM SIO MHASIBU MKUU ILA KAMA ULIVYOFANYA MAHESABU WEWE MCHUMI MWENZANGU
UKITAKA KUJUA PIGA HESABU YA 110,000 LAKI KWA NDANI YA MWAKA NDO UJAELEWA ASANTE KARIBU KUKINUNUA
 
Ongeza maelezo! Kinatumia umeme?
HAKITUMII UMEME WALA NINI NI CHUPA AMBAYO INA NGUVU AU UWEZO WA KUBALANCE PH YA MAJI NA KUYAFANYA YAWE SALAMA NA SAFI INGEKUWA KARIBU AU KAMA UKO KARIBU TEMBELEA OFISINI KWETU TUPO KAWE KARIBU NA TANESCO UJE UONE MWENYEWE LIVE JINSI YA KUKITUMIA CHETU CHA ENERGY CUP KARIBU SANA MKUU
 
Inauaje bakteria?

Namaanisha inafanyaje kazi ya kuua hao bakteria? Ni kwamba ilinyunyiziwa dawa itakayodumu kwa miaka 8?

Kweli sijaelewa hapo.
YAANI INAKUWA NA DAWA AMBAYO INAUA BACTERIA AMBAO WAKKO KWENYE MAJI WEWE CHA KUFANYA UNACHUKUA MAJI YAKO UNAWEKA KWENYE CHUPA YA ENERGY CUP KISHA UNAACHA KWA DK5-10 HALAFU UNAONDOA NA KUWEKA KWENYE LITA MOJA AU LITA 20 UNATIKISA KIDOGO HAYO MAJI YAKO NA KUACHA KWA DK 15 HIYO DAWA INAKUWA MESHAUA BAKTERIA WOTE WALIOOPO KWENYE HAYO MAJI NA KUYAFANYA KUWA SALAMA NA SAFI KWA KUNYWA

KWA MAELEZO ZAIDI TUTEMBELEEE OFISINI KWETU ETERNAL INTERTNATIONAL TUPO KAWE KARIBU NA TANESCO TUTAKUONESHA NAMNA YA KUTUMIA KIFAA HICHO CHA ENERGY CUP NINGEWEKA PICHA HAPA ILA SIJUI NAMNA YA KUTUMIA YOUTUBE ILI MUONE VIDEO YAKE NAMNA YA KUTUMIA HICHO KIFAA KWA YULE ANAYEJUA ANIELEKEZE NAMNA YA KUTUMIA YOUTUBE
 
,nini tofauti yake na maji yalochemshwa vizuri sana?
HICHI KIFAA KIMETENGENEZWA MAALUM NA KUWEKEWA DAWA MAALUM KWA AJILI YA KUBALANCE HP YA MAJI NA KUYAFANYA KUWA SALAMA NA KUUA BACTERIA AMBAO WANALETA MARADHI AMBAO WANAOKUWEPO KWENYE MAJI NA VILEVILE KINA DAWA AMBAYO ITAKAYOKUKINGA USIPATE NA KANSA HIYO NDO TOFAUTI NA MAJI YA KUCHEMSHA YA KAWAIDA
 
Back
Top Bottom