Nauza nguruwe fasta

kinyangesi

JF-Expert Member
Jul 15, 2012
247
86
Habari wana jf?
Nilikuwa nimeanzisha ka mrad kakufuga nguruwe, nna nguruwe wakubwa wa tatu. Na watoto wao wenye miezi 4. Nnawauza wote kwa pamoja! Bei ni maelewano tu. Eneo nnapofugia ni kbaha picha ya ndege si mbali toka morogoro road. Aliyetayari anichek kwa

0768035253
0716307470
 
Naenda kuongeza elimu mkuu, fort hare university! Hapa nyumbani sina mwangalizi.@Mu-sir
 
Attachments

  • 1456604838498.jpg
    1456604838498.jpg
    26.5 KB · Views: 49
Habari wana jf?
Nilikuwa nimeanzisha ka mrad kakufuga nguruwe, nna nguruwe wakubwa wa tatu. Na watoto wao wenye miezi 4. Nnawauza wote kwa pamoja! Bei ni maelewano tu. Eneo nnapofugia ni kbaha picha ya ndege si mbali toka morogoro road. Aliyetayari anichek kwa

0768035253
0716307470
vip ndugu ulishapata mnunuzi,,naona hapa maneno maneno tu
 
Wamebaki wadogo wanne mkuu. Nipm namba yako

Sent from my Vodafone 875 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom