Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari,kwangu kuna madirisha ya kizamani hivyo nayabadilisha taratibu,kuna fundi alinibadilishia mawili lakini hivi sasa hapatikani...hiyo nahitaji fundi wa kunisaidia nia yangu yasitofautiane...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Je simu yako ni Huawei Ascend Y220 Y221 Y320 Y321 Y360 Y511 Y520 Y600 Vodafone VFD200 V200 VFD300 V300 VFD500 V500 VFD501 V501 V696 V700 Alcatel Alcatel One Touch OT-1012 U Alcatel One...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Nahitaji majengo ya kukodi kwa ajili ya kufungua chuo ngazi ya certificate hasa mikoa ya Ruvuma, Njombe na Iringa. Kama kuna MTU au dalali anafahamu please tuwasiliane 0754004189
1 Reactions
0 Replies
735 Views
Nahitaki majengo ya kukodi kwa ajili ya kufungua chuo. Hasa mikoa ya ruvuma, Njombe na Iringa. Please mawasiliano 0754004189.
0 Reactions
0 Replies
868 Views
64gb internal 4gb ram 4g network Price :760,000 Call : 0713 160 909
0 Reactions
0 Replies
695 Views
Mei 01 2017 Sonda ya Dilu watafanya uzinguzi wa video yao katika ukumbi wa multipurposes hall ( school of law Tanzania ) karibu na kituo cha daladala mawasiliano...
0 Reactions
3 Replies
867 Views
Habari wana JF Nahitaji kitanda used 5*6 kiwe ktk hali nzuri ya ubora na usafi. Bei ataitaja muuzaji nami nitaangalia kama nitaiweza (bei isiwe kubwa kutokana na hali halisi ya mfuko wangu kuwa...
0 Reactions
4 Replies
819 Views
Nipo Dar es salaam nafanya fittings za bomba kwa mkataba. Aliembali na Dar es salaam atalipa kiasi cha gharama za nauli kwa ajiri ya kuangalia KAZI
2 Reactions
2 Replies
750 Views
Imani yangu ni kwamba ipo siku Oriflame itabadilia maisha yangu kabisa na kuwa katika sehemu nzuri kimaisha.. Lakini sitokuwa mwema kama nami sitokushirikisha katika mafanikio haya na katika...
1 Reactions
0 Replies
743 Views
Fanya kuingia kweny link hii ku make mkwanja RevenueBrust.com - Earn 10$ Per Referral Link Visit ! Earn 2000$ monthly from home
0 Reactions
2 Replies
731 Views
Kwako ambaye bado haujajua utumie perfume ipi na ya umpendae.. Karibu twaweza ongea biashara pia.. Ni nzuri sana na manukato yake yanavutia sana 0672416294
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Bei yetu ni nafuu sana, Usafi wa majumbani na ufuaji wa nguo na mavazi tofauti _____________________________________ Ofisi Yetu Ipo tungi Mkabala Na Msikiti Pia Tunaweza Kukufata Ulipo...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
Done Deal .
0 Reactions
1 Replies
827 Views
[emoji95] Hivi kwanini ubaki ukinungunika juu ya ajira na Oriflame ipo kukupa fursa ya kujiajiri na kufanya biashara pamoja nayo? Usihofu kuhusu elimu yako kikubwa ni umri ambao ni miaka 18 na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
IVORY TOWER ltd. inauza apartment iko mjini kabisa , ni mwendo wa kutembe kwenda kariakoo, karibu na supermarkets, kuna chekechea mbili karibu na jengo za lugha ya kiingereza , pia ni karibu na...
0 Reactions
118 Replies
55K Views
Nyingi zina urefu wa 12m mpaka 13m. Ziko tayari kubebwa hapa Iringa. Tuwasiliane 0712729015 au PM. Pia naweza kuzikata kulingana na maitaji yako.
0 Reactions
0 Replies
803 Views
kiwanja ~Kiwanja kinauzwa Maeneo ya Kimara Mwisho(Matosa) kina Mita 15(upana) Mita 30 (Urefu) Bei ni Shs Million 10 Umeme,Maji na mahitaji mengine yapo.... Maongezi ya Bei yapo Mawasiliano 0713...
0 Reactions
0 Replies
539 Views
Wakuu salaam, Niko katika majaribio ya kutengeneza bidhaa fulani. Nahitaji spirit (pombe kali) kama lita 20. Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kuipata naomba anisaidie kupitia PM. Natanguliza...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Heshima na iwe kwenu wana wa jf Naomba kujuzwa hapa kwetu tanzania kuna wakala wa hivi vifaa vya muziki vya kampuni ya BOSE?
1 Reactions
15 Replies
5K Views
Wakuu hii laptop nimenunua last month mpya na accessories zote pamoja na bag na Warranty ya mwaka mmoja. HP Processor: Intel (R) CPU N3060 @ 1.60GHz RAM: 4 GB WINDOWS 10 bei ni fixed...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…