Tunafua nguo na kufanya usafi Kigamboni

BANGO JEUPE

JF-Expert Member
Nov 21, 2015
3,079
2,152
Bei yetu ni nafuu sana,
Usafi wa majumbani na ufuaji wa nguo na mavazi tofauti

_____________________________________
Ofisi Yetu Ipo tungi Mkabala Na Msikiti Pia Tunaweza Kukufata Ulipo

Contact/Whttp:+255 718295182
 
Wakiu bado tunakari isha kazi zenu usalama wa nguo zenu ni uhakika ukitaka hadi ofisini utapaona na maji tunayotumia ni safi kwani tunajali mali ya mteja kwanza
 
Suruali, kaptula, brauzi shati na nguo zisizo jinsi wala blanketi-500

Bei ya nguo za jinsi na blanketi-700

Mashuka,blanketi na taulo-1500-2000
Nguo nyingine inategemea na ukubwa na aina ya nguo
Nguo zaidi ya 10 utapata ofa ya kufuliwa pensi moja na shati moja bure
Karibuni sana chief
 
Back
Top Bottom