Wapi Nitapata Spirit (Pombe kaili) lita 20?

Sanjara Honey

Member
Jul 1, 2009
71
32
Wakuu salaam,

Niko katika majaribio ya kutengeneza bidhaa fulani. Nahitaji spirit (pombe kali) kama lita 20. Kwa yeyote anayefahamu wapi naweza kuipata naomba anisaidie kupitia PM.

Natanguliza shukrani
 
nunua konyagi kidogo kidogo mpaka ifike lita ishirini mkuu .. ingekuwa bia ungepata spirit sijawi ona mitungi yake
 
nunua konyagi kidogo kidogo mpaka ifike lita ishirini mkuu .. ingekuwa bia ungepata spirit sijawi ona mitungi yake
Nikinunua ya vichupa vya Konyagi, hiyo bidhaa bei yake haitanunulika sokoni! Anyway nahitaji nyingi kwa ajili ya majaribio ya kutengeneza recipes. Asante
 
Nikinunua ya vichupa vya Konyagi, hiyo bidhaa bei yake haitanunulika sokoni! Anyway nahitaji nyingi kwa ajili ya majaribio ya kutengeneza recipes. Asante
kama unataka spirit nenda makampuni yanayouza chemical unaweza pata.... kuna moja ipo maeneo ya mbezi beach nimeshaahu jina unaweza pata
 
Ungekua Kilimanjaro ndo kuna hizooo za lita20 lakini ukikamatwa unalo na maanisha (gongo,chang'aa,piwa) si ndo tunaziitaga hivyo
 
Ungekua Kilimanjaro ndo kuna hizooo za lita20 lakini ukikamatwa unalo na maanisha (gongo,chang'aa,piwa) si ndo tunaziitaga hivyo
Aha ha ha ha Mkuu wacha utani. Hiyo hainaga TiiBiiEsi na kwenye usawa huu wa Magu nitampa Kigwa kiki ya fwasta
 
Zama Uswahilini at ukitaka Dumu 20 za Gongo unapata kuna sehemu hukosi naogopa Kukudirect wapi utapata mana sina imani vile na ww nawaza kuna kitu unatafuta
 
Nenda maduka wanayouza lab equipment utapata... pale kariakoo mitaa karibia na ilipokua round about ya uhuru au mjini... unapata mpk yenye 99%
 
Kuna baadho ya pharmacy wana clear ethanol, nenda uwe specific tu wasikupe ambayo imewekewa rangi ile unaweza shtua, ila be careful, ni very concentrated. Kama unataka kwa ajili ya kuingiza mwilini na kwa kua naona upo tayari kupitia njia ngumu, kwa nini usitengeneze mwenyewe tu? Soma process ya fermentation unaweza fanya hata nyumbani.
 
nenda kwa masaplaya wa vivaa vya maabara....watakuuzia pure ethanoo...wanauza kwenye madumu ya lita 3....ukipata madumu yako 7...fureshi
 
Nadhani kwanza kisheria hurusiwi kukutwa na lita 20 za spirit.....so we wataka kutengeneza nini kwanza?
Nataka kutengeneza formulation za products zangu za vilevi kwa njia ya utafiti (R&D in product development). Nisaidieni jamani nina hitaji la kweli
 
Back
Top Bottom