USIPANGE KUKOSA

Mwamba1961

JF-Expert Member
Dec 10, 2016
624
408
Mei 01 2017 Sonda ya Dilu watafanya uzinguzi wa video yao katika ukumbi wa multipurposes hall ( school of law Tanzania ) karibu na kituo cha daladala mawasiliano.

KIINGILIO
wakubwa + DVD ya bure Tsh 10,000
VIP + DVD ya bure Tsh 30,000
Family pack watu 3 + DVD ya bure Tsh 50,000

Watoto Tsh 5,000


 
Back
Top Bottom