Nahitaji

Tayukwa

JF-Expert Member
Dec 11, 2014
2,171
4,398
Habari wana JF
Nahitaji kitanda used 5*6 kiwe ktk hali nzuri ya ubora na usafi.
Bei ataitaja muuzaji nami nitaangalia kama nitaiweza (bei isiwe kubwa kutokana na hali halisi ya mfuko wangu kuwa dhaifu) picha ni muhimu katika hili.
Ukiwa upo tayari PM ruksa.
Napatikana maeneo ya Mbagala
 
Sasa hata kama bei hujawa specifc na umempa uhuru muuzaj si bora ukanunue kipya tu kulingana na mfuko wako ? Sijajua kama ni mapenz, hulka, style au ugumu wa maisha bt kununua kitanda used from no where for me hapana jaman, bora iwe redio, tv or other hom appliance bt sio kitanda especially cha mtu nsomjua, bora nlalie godoro tupu nikiwa najichanga kununua kipya.

Ngoja wauzaj waje, kila la kher mkuu....
 
Nna 6*6 mninga na godoro lake nchii 8 kwa 300
 
Sasa hata kama bei hujawa specifc na umempa uhuru muuzaj si bora ukanunue kipya tu kulingana na mfuko wako ? Sijajua kama ni mapenz, hulka, style au ugumu wa maisha bt kununua kitanda used from no where for me hapana jaman, bora iwe redio, tv or other hom appliance bt sio kitanda especially cha mtu nsomjua, bora nlalie godoro tupu nikiwa najichanga kununua kipya.

Ngoja wauzaj waje, kila la kher mkuu....
Ni kweli mkuu kwa hayo uyasemayo na wala hakuna mtu ambae hatamani kitu kipya wala kizuri isipokuwa ni maisha tu ndio kupelekea hali hiyo, hivi kuna mtu anasubiria kitu mwenzake akichoke ndio auziwe yeye ? bila shaka hapana ndo jibu lake.
Bora umesema kwa upande wako huwezi hivyo mshukuru Mungu uendelee kuwa hivyo huwezi maana maisha hayana fomula.
Kuhusu kununua kipya kwa sababu sijaweka bei hayo ni mawazo yako hivyo sipingani nayo yaani mtu aweze kununua kitu kipya ambacho hakihitaji hata maelekezo ya wapi kwa kukipata kutokana na wingi wake ndio akubali mateso na maneno kuntu km haya!!!
AHSANTE MKUU NIMEKUELEWA NINI UMEMAANISHA NA UMENISAIDIA KUWA KITANDA KILICHOTUMIKA KWA MTU USIYE MJUA NI HATARI KWA USALAMA ILA IMENIBIDI TU NA SINA JINSI
 
Back
Top Bottom