Bose music system

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
277
Heshima na iwe kwenu wana wa jf
Naomba kujuzwa hapa kwetu tanzania kuna wakala wa hivi vifaa vya muziki vya kampuni ya BOSE?
2e3e752a44c0932ce2850bfc659e55e3.jpg
 
Kama wewe ni mpenzi Wa kusikiliza mziki tu achana na Bose. Kwa wapenzi wa movie, surround sound ni OK.
 
Back
Top Bottom