Habari wana jamvi! Ninatafuta CHUMBA cha kupanga KWA muda wa wiki moja maeneo ya kibaha kati ya KWA mfipa na maili moja. Gharama za gesti kwangu nimeona zitakua kubwa.Aliye tayar kunisaidia...
+255 657 685 268 WhatsApp!
Pata ramani za nyumba za kisasa za kuishi familia sehemu nzuri na salama kwa afya, uhuru na furaha!
1 chumba master
2 vyumba vya kawaida
Sebure,
Dining, jiko na...
Kiwanja safi kisicho na mgogoro wa aina yoyote kinauzwa; kipo Kigamboni katika eneo la Amani Gomvu kina ukubwa wa mita za mraba 1040 (1040 SQM).
Kiko eneo zuri la makazi. Ni eneo ambalo tayari...
Nauza used Iphone 6s plus 64gb iliyonunuliwa Europe. Imetumika kwa takribani mwaka na nusu. Cover ya USB cable imekatika kwa juu (angalia pichani) but yafanya kazi kama kawaida. Pata simu original...
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi...
Wakubwa kwa heshima na taadhima kama kichwa hapo juu kilivyo.
Mimi kitanda kiume mwaka jana nime hitimu kidato cha sita nika kosa mkopo nili pata division 2"point 12.
nilikuwa nimejitolea...
Kama heading inavyojionyesha, nipo morogoro maeneo ya mawenzi NATAFUTA wadada wapishi wazuri wanaojua kupiga vyakula vya dizaini yeyote niwaajiri, kwa wale wanaopatikana morogoro tuwasiliane...
Hello ndugu zangu nina ardhi/shamba zuri sana halina mgogoro nililinunua kwa mama mmoja aliyezaliwa pekee na wazazi wake ambao sasa ni marehemu. Ni sh. milioni 10 tu. Lipo kando ya barabara...
Nauza Huawei Honor 7 Lite niliyoinunua Europe October, 2016. Nimeitumia kwa miezi 6 hadi sasa na ipo ktk hali nzuri.
RAM: 2GB
Storage: 16GB,
Ni ya line mbili na yatumia nano chip.
Ina finger...
Sheets To_Go ni mashuka kutoka Kampala-Uganda,,ni pure cotton(pamba 100%)
8*8 @80000(shuka 2 na foronya 4)
6*6 @70000(shuka 2 na foronya 4)
Jumla kuanzia pea 10
8*8 @65000
6*6 @55000
Kwa waliopo...
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya...