Hello ndugu zangu nina ardhi/shamba zuri sana halina mgogoro nililinunua kwa mama mmoja aliyezaliwa pekee na wazazi wake ambao sasa ni marehemu. Ni sh. milioni 10 tu. Lipo kando ya barabara inayounganisha Mzunguko wa Usagara Mwanza na Ferry/Sengerema. Ni km 20tu kutoka City Centre. Hakika hutajuta. Nauza ili nitatue tatizo la haraka. Kama unahitaji please nitumie meseji inbox. Linafaa kwa kilimo. Ufugaji. Eneo hilo iliyoko ardhi yangu limeanza kununuliwa na matajiri wenye hela zao. Tayari watu wamechukua maeneo makubwa na kuweka viwanda, shule. Karibuni.