ANZISHA KIWANDA KIDOGO NYUMBANI

ANZISHA KIWANDA KIDOGO NYUMBANI

Dr. Zaganza

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
1,762
Reaction score
2,678
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.

piga:0713-039875

Vipi kinalezea pia upatikanaji wa material kwa watu wa mikoani? na je kinaelezea step by step, na vipi ni kirahisi kuelewa?
 
Weka mfano wa wazo moja na jinsi linavyotekelezeka.
Tafuta soko la vitu vyako kwa weredi mkuu, hivyo tu haitoshi.
 
Wewe umeshaanzisha kiwanda?
 
Attachments

  • SABUNI.jpg
    SABUNI.jpg
    58.3 KB · Views: 197
Vipi kinalezea pia upatikanaji wa material kwa watu wa mikoani? na je kinaelezea step by step, na vipi ni kirahisi kuelewa?
Ukinunua hadi namba za simu za wauza material utapata. Kinaeleza hatua kwa hatua, lugha ni kiswahili. tazama hii picha yaliyomo.
 
Attachments

  • yaliyomo.PNG
    yaliyomo.PNG
    25.9 KB · Views: 304
Weka mfano wa wazo moja na jinsi linavyotekelezeka.
Tafuta soko la vitu vyako kwa weredi mkuu, hivyo tu haitoshi.
Maelezo yangu umeyajibu kwenye picha. Nilikuwa natoa ushauri kwenye thread ujieleze kwa kina.
Nimependa.... Hongera sana...
 
Habari wakuu.
Baada ya kufanya majaribio ya bidhaa mbalimbali, napenda kushare nanyi kitabu kinachofundisha jinsi ya kutengeneza bidhaa hizi mwenyewe bila mwalimu.
Kimekusanya bidhaa zaidi ya kumi na tano.Pia kina mbinu za ujasiriamali.
Kinapatikana pia katika mfumo wa softcopy ambayo inatumwa kwa whatsap.Bei ni ths.5,000/-
Elfu tano tu.

piga:0713-039875
Wewe una kiwanda chochote?bidhaa zako zilizo sokoni ni zipi?
 
mara nyingi maprofesa wanaofundisha uchumi hawana hata genge la kuuza nyanya. , hungoja mshahara tuu, sasa sijui ni wa huku kwetu bongo pekee au hadi huko kwa ngozi nyeupe.
 
sawa sawa maelezo nimeyakubali. nitakutafuta.
Hakuna Version ya DVD mheshimiwa?
 
Jamii zetu hazijaandaliwa kupokea mafunzo ya namna hii, kiukweli chemical zinazotumika kutengeneza izo sabuni ni hatari Sana'a.

Unakuta wakina mama wanatengeneza na kuatarisha usalama Wao na walaji.

Mfano hizi sabuni za kusafisha vyoo ni nzuri sana lakini kiuhalisia ni hatari kuliko.

Sitaki kusema mafunzo haya hayana maana kwa kuwa faida zake ni nyingi na zinaonekanika kila pahala. Angalizo ni wajasiria mali hasa kina mama kutumia hizi chemical bila ya vifaa vya kujilinda

Fikiria mtu anafunika mdomo kwa kitambaa cha mkononi au handkerchief huku anakoroga chemicals za sabuni ya chooni?

Kwa mtu anayejua anaweza kunielewa nachoomanisha kiukweli elimu ya kutumia chemicals za aina yeyote katika levels za familia za Tanzania ni kuzidi kuuana wenyewe kwa wenyewe bila kujua ama makusudi.
 
Back
Top Bottom