Nahitaji vifungashio vya korosho

Vifunganishio vipo vya Aina nyingi sana, inategemea unatakaje, Korosho zako ziwe packed katika packing ya material yapi kwa ujazo gani?
Pili, machine pia Zipo nyingi sasa unataka zipi, unataka vacum packing machine, heat sealing machine, au puff packing machine, na machine za ukubwa gani? Kulingana na uzalishaji wako.
Kwa jibu la ujumla kila kitu kinapatikana na Mimi nina supply Aina zote za food processing machines, packaging machine na vitu mbali mbali.
 
Back
Top Bottom