Plot4Sale Kiwanja kinauzwa mbezi luis

mtafutaji2016

Senior Member
Jun 19, 2016
105
46
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya kusawazisha.

Kwa mawasiliano piga simu no 0782 873523 dalali haitajiki.
Karibuni
 
Milion 22 si nyumba iyo achen utani na hela matatizo hayatatuliwi njia hiyo
Unafaham thaman ya ardhi na location yake? Hakuna kitu chenye thaman kama ardhi na kila siku inaongezeka...sembuse mil 22 watu wananunua had mil 50 kiwanja..kama huna pesa nyamaza...
 
Milioni 22, duh, nimejenga nyumba bado kuezeka tu imecost milioni 18
Acha siasa kama huna uwezo kaa kimya..usiharib biashara za watu.....hujui thaman ya ardhi na location yake...kuna viwanja had vya mil 50 sema sina pesa...ardhi kila siku inapanda dau...
 
Mkuu sio kwa usawa huu wa Magu...kwa sasa thamani ya ardhi ni nusu ya enzi ya wa msoga.

Kiwanja ulichokuwa unauza kwa 10m kipindi kile kwa sasa ni 5m tena kwa kubembeleza.

Endelea kukaa nacho mkuu labda hali itabadilika ila kwa hali ya sasa huo ukubwa kwa hyo bei utasubiri sana.
 
Acha siasa kama huna uwezo kaa kimya..usiharib biashara za watu.....hujui thaman ya ardhi na location yake...kuna viwanja had vya mil 50 sema sina pesa...ardhi kila siku inapanda dau...
swali, kwanini ardhi ipande thamani kila siku ilhali ardhi ni ile ile
 
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya kusawazisha.

Kwa mawasiliano piga simu no 0782 873523 dalali haitajiki.
Karibuni
Kina hati?
 
awamu hii huuzi hicho kiwanja kwa hiyo bei.. hata nusu bei tu kuuza ishu

Akipata mtu wa kumpa 10m apokee tena akimbie kabisa Jamaa asijebadili mawazo.

Huyu Jamaa anacheza na hali ya sasa nn....hyo hela unanunua nyumba Kali tena na uwanja mkubwa tu huko huko Mbezi Luis anakosema.
 
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya kusawazisha.

Kwa mawasiliano piga simu no 0782 873523 dalali haitajiki.
Karibuni

Kimepimwa?kina hati? maji umeme vipo?
 
Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 maelewano yapo..
kipo mbezi luis njia panda ya kwenda goba kuna lami na umeme, eneo ni tambalale kinafaa kujenga nyumba bila garama ya kusawazisha.

Kwa mawasiliano piga simu no 0782 873523 dalali haitajiki.
Karibuni

Wewe ulikua wapi unauza kiwanja ukubwa wa 25x25 bei ni million 22 ur not serious,hiyo bei hupati weka labda sanasana million 7 utapata
 
hata kama kiwe barabarani baki nacho tu mkuu
mil 22!!!!!
sio enzi za kikwete hizi mlizokuwa mnanunua mil 100 kiwanja tu
khaaaaa
 
UNAPOSEMA DALALI HAIAJIKI JE WE NI MMILIKI WA HICHO KIWANJA

OVA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom