Natafuta Chumba cha kupanga kibaha Kwa wiki moja

smartman

Member
Oct 8, 2012
16
2
Habari wana jamvi! Ninatafuta CHUMBA cha kupanga KWA muda wa wiki moja maeneo ya kibaha kati ya KWA mfipa na maili moja. Gharama za gesti kwangu nimeona zitakua kubwa.Aliye tayar kunisaidia tafadhali ani pm
 
Back
Top Bottom