Nchaby
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 797
- 258
Kiwanja safi kisicho na mgogoro wa aina yoyote kinauzwa; kipo Kigamboni katika eneo la Amani Gomvu kina ukubwa wa mita za mraba 1040 (1040 SQM).
Kiko eneo zuri la makazi. Ni eneo ambalo tayari lina wakazi hivyo Umeme na Maji vinapatika.
Bei ya Kiwanja hicho ni Tzs.18m, kwa yeyote anayekihitaji, tuwasiliane kwa namba ya simu ifuatayo 0759-687 195/ 0713-870 352.