SOLD: Mtungi wa gesi na jiko

Status
Not open for further replies.

Islam005

JF-Expert Member
Nov 1, 2008
3,342
3,494
Nauza mtungi wangu wa gesi kilo 30 aina ya mihan( Mihan gas 29.5kg) pia nina jiko ya sahani mbili halijatumika sana(Nikai gas cooker) vyote 160,000. Ukitaka kimojawapo ni sawa pia, nipo dar
 
Huo mtungi ni wa ujazo kilo 14.5 gass na kilo 15 mtungi wenyewe jumla ni 29.5kg.......vinginevyo weka picha ya huo mtungi.........!!!!!
 
Mbona mengine unajibu hapa bei ya jiko pekee umepeleka PM? Mbona mnapenda mambo ya siri km waganga?

Haya nipm na mm bei ya jiko pekee na mtungi pekee. Na unapatikana wapi.

Hayo yanapaswa kuwa open sio mpk mtu aulize mkuu
 
Mbona najibu?

Tena bei imepungua, jiko pekee nipe 70k tu na mtungu 60k maeneo ya kigamboni
 
Nauza mtungi wangu wa gesi kilo 30 aina ya mihan( Mihan gas 29.5kg) pia nina jiko ya sahani mbili halijatumika sana(Nikai gas cooker) vyote 160,000. Ukitaka kimojawapo ni sawa pia, nipo dar
72570eb6febf033beb4594fd2c12e07a.jpg
8037eedecc73ee37e57fb0c6109476fb.jpg
navihitaji, weka namba yako nikucheki mkuu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom