Nissan caravan inauzwa

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
87,094
120,446
Kilomita zake zinasoma 150000
Ni automatic transmission,inatumia petrol
Model ya engen ni v6 20qr.
Gari ilingia nchini mwaka jana mwezi wa nane....
Bei ya kuuza mln 25 maongezi kidogo yapo....
Gari imepaki tu kwa sasa haifanyi shuguli yoyote....Garihaina shida aina yoyote...Gari inapatikana kitunda,dsm...Kwa mawasiliano piga sim 0715591141..

IMG-20170404-WA0025.jpg
IMG-20170404-WA0026.jpg
IMG-20170404-WA0027.jpg
IMG-20170404-WA0028.jpg
IMG-20170404-WA0029.jpg
IMG-20170404-WA0030.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom