Natafuta nyumba ya kupanga inayojitegemea kwa kila kitu

Malyenge

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,658
3,657
Wakuu natafuta nyumba ya chumba kimoja na sebule choo bafu na jiko vyote inayojitegemea kwa kila kitu. Na si nyumba yenye wapangaji kibao nyumba moja.
Maeneo ninayohitaji ni:
1. Tabata
2. Mwenge
3. Makongo
Na 5. Mbezi Beach.
Naomba mnitumie picha na bei zake.
Mnakaribishwa sana na nawashukuru.
 
Ungejaribu instagram mzee kuna madalali wakutosha kule. Unless hutaki kuwatumia madalali
 
Sawa mkuu. Nimejaribu kwenda huko lakini maelezo hayatoshelezi.
 
Weka angalau bei yako irange kuanzia ngapi hadi ngapi sio unawapa watu Mzigo kumbe ungeweza kurahisisha kama ulivyorahisisha maeneo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom