Van/truck for hire

LoyalTzCitizen

JF-Expert Member
Sep 15, 2010
2,239
937
Kama title na picha zinavyojieleza, nakodisha kwa short au long term truck yangu kwa shughuli zozote zile hapa Dar na Tanzania kwa ujumla. Truck lipo ktk hali nzuri sana!

Mfano- Katika removal ( kuhamisha mizigo), usafirishaji magodoro, maji packed, stationeries, nguo, vyakula vya kuku, chupa& packages, magazeti, vitabu,
back.jpg
side.jpg
madawa na vitu vyote visivyohitaji shurba ya mvua na jua.

Truck ni ya tonne 3.5, ina box body ya fibre material na dereva yupo. Lina vibali vyote.
Tupo Dar - contact 0763 853 801
front.jpg
 
Weka bei hadharani mkuu tujue...
Nilikuwa natafuta sana hiyo kitu kwa ajili ya kusafirisha mayai ya kuku
 
Back
Top Bottom