Nahitaji Gari aina ya IST nipo Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Jun 17, 2012
2,161
880
Habar wakuu ninahitaji gari tajwa hapo juu liwe used na katika hali nzuri nipo Mwanza ninahitaji kwa haraka sana plz ni WhatsApp kwa 0763772636
 
Hapana me nataka kwa Mwanza jaman maana tunahitaji tuichek Leo kama ikiwezekana tufanye biashara chap
 
Nenda taratibu hata kama una haraka sana, hayo madude yanahitaji utulivu unapotaka kulinunua. Usije ukaangukia pua, hapo mwanza kuna mahali wanauza magari....vipi umejaribu kuwaona hao jamaa?
 
Nina gari za ist tatu nicheki uje uchague mwenyewe zote safi hazijaguswa engene wala body

Call 0713774746
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom