Nafanya Setup ya Blog yako kukuwekea matangazo ya Facebook ili kujiongezea kibato kupitia BLOG YAKO
Hakuna masharti mingi kama Adsense
Lugha (Kiswahili kinaruhusiwa)
Malipo (Unatumiwa Kwenye...
Nauza pikipiki boxer bm 150. Bei ni mil 1.7 maongezi yapo, iko katika hali nzuri ina miez 2 tangu kununuliwa na kufanya kazi, insurance mwaka mmoja had mwakani february. Karibu dm.
Magari Yote Hayajawahi Tembelewa Ndani Ya Ardhi Ya Tz Utapata Kwa Bei Ya kusafisha Yard Toka Bandar
Unachukua gari ikiwa Imekamilika tayari kwa kuingia Road
Wasiliana Nasi Sasa tukutumie list na...
Bidhaa ya kwanza(filamu yenye maudhui ya utalii kwa 100%) yenye lugha ya kiswahili ( siyo ya kutafsili) inatambulishwa sokoni ikiwa imerekodiwa na mzawa kutoka katika mbuga mbalimbali zilizopo...
Shkamoon wakuu.....Recently nlikua nafikiria kujikita kidogo kwenye biashara ya kufuga kuku wa nyama hapa hapa Dar.....Naamin wapo watu humu JF ambao wanafanya hii kitu na pia wapo successful in...
Hey wa jf, nani mawasiliano na kampuni za kichina zinazo uza sundar solar home system, vyombo vya usafiri kama pikipiki na mini hydro turbine! Nawasilisha[/IMG]
Salam wakuu,
Kama navojieleza kwenye heading , niko maeneo ya dar na ninahitaji atleast majogoo 4 na matetea 16 kwaajili ya kuanza ufugaji mdogo mdogo. Pia ningependa kufahamu bei na prons na cons...
Tunatoa huduma ya wound dressing kwa waliojifungua kwa oparesheni.(nyumbani kwako)
ama kidonda cha aina yoyote .
huduma inakufata ulipo
kwa sasa huduma hii inapatikana mwanza pekee.
kuhusu huduma...
Tunafanya service za mashine za kuangulishia vifaranga, pia Tunatengeneza mashine za kuangulishia vifaranga kwa bei nafuu kabisa na zenye ubora zaidi. Mashine hizi ni automatic ,manual . na za...
Salamu kwenu jamani , ,kuna kitu nimesikia kuwa maeneo ya ruvuma kuna mahindi yanauzwa kwa bei ndogo sana ,,,mwenye taarifa nzuri kuhusiana na bei ya mahindi huko ruvuma tujulishane basiii,,,,
Natafuta playstation 2 used iwe complite pad 2 na cable zote na iwe iliochakachuliwa yaani unaweza kuplay games na flash kwa downloaded games.
Nitafute tufanye biashara 0625906899
HDD 500 GB,4GB RAM,Windows 7 professional,64 bit operating system na ina antivirus ya mwaka mmoja( kaspersky)
imetumika miezi 2,iko katika hali nzuri sana. Ipo Mbeya,bei 450,000/
anayehitaji ani...
Habari wana jf naimani ni wazima
Naomba niende kwenye mada yangu nina kiwanja nakiuza kwa alie tayari namba zangu 0764404279/0718172475
Kiwanja kipo majengo ya Tabora karibu na shule ya msingi...