Salamu kwenu jamani , ,kuna kitu nimesikia kuwa maeneo ya ruvuma kuna mahindi yanauzwa kwa bei ndogo sana ,,,mwenye taarifa nzuri kuhusiana na bei ya mahindi huko ruvuma tujulishane basiii,,,,
mkuu sehemu gani..maana mi nimelima Ruvuna napajua sehemu zenye mahindi...kwa muda huu bado sana kuanza kuvuna..na kama ukilazimisha kununua saiv bas meng hayajakauka vizuri yatakusumbua
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.