Simu mpya

errynest s Lukindo

JF-Expert Member
Feb 7, 2017
484
165
Nauza simu mpya kabisa

Toleo jipya Itel S31 unapewa vifaa vyake vyote vipo

Bei 190000 maongez yapo

Kwa mawasiliano no.0675636863 au 0762504906

Dsm.
956a3108e7d97f0607aacc233c4a9721.jpg
d2aa42ec1e7815ae4e6ba401799afce2.jpg
d787b59e6dd25ce67078b1b28c4bf2ff.jpg
 
atakuwa alitaka kuandika laki na tisini,kama ndivyo basi huko shuleni huwa wanaenda kusomea ujinga?
 
Acheni uboya someni namba vizuri, ndio maaana watanzania hua tunaongoza kwa kufeli mitihani
 
Acheni uboya someni namba vizuri, ndio maaana watanzania hua tunaongoza kwa kufeli mitihani
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha
Kwa hyo kuna fekon ya laki na tisini kwanini msisome namba vizuri kuliko kukurupuka
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha
Jaman n maandsh n lak 90
Mkuu usiwe na haraka tulia type vizuri
 
Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha

Mkuu huyu hakukosea mwandishi ndio aliyokosea na amekubali kosa karekebisha

Mkuu usiwe na haraka tulia type vizuri
Kwan shida iko wap hapo malekebsho c yashafanyika au?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom