Hongereni kwa majukumu!!
Natafuta soko la uhakika la kuuza ngozi za ngo'mbe kwa sasa tayari kuna ngozi 300+
Ngozi zipo mkoa wa Morogoro na huwa wakusanyaji hukausha kwa kutumia chumvi hivyo...
Land Rover 109 ipo sokoni ni nzima inatembea,bodi imenyooka na rangi inang'aa, tairi mpya general tyre. ipo Arusha anaye ihitaji atume sms Piga No 0682 359343.
Tunauza Nguruwe. Ni wa ukubwa tofauti na Mbegu tofauti (tunauza kuanzia wa miezi 3 na kuendelea). Wana afya njema na wanakuzwa kwa matunzo yanahitajika kitaalam. Bei ni nafuu sana, kama huna...
Katika msimu huu wa Pasaka tunauza Kuku wetu wenye uzani wa mpaka 2.3Kg kwa TZS 15,000/=.
Bei hii ni pamoja na kuchinjiwa na kuletewa mpaka ulipo kwa wakazi wa Dar.
Kuku wetu ni chotara aina ya...
Habari zenu?
Mimi ni mwanamke mjasiriamali biashara yangu ni ya kuuza askirimu hizi za uswazi za mia mia! nashkuru Mungu inanisaidia, nataka niweke some improvements katika utengenezaji kwani...
habari zenu? je naweza kupata mashine ambayo nitakuwa natengeneza askirimu zangu (hizi za kienyeji za vifuko za mia mia)!?
mashine ambayo nitakuwa naeka juice yangu na waraka then iwe inajifyatua...
Chumba chenye sebule pamoja na jiko na choo chake kinapangishwa maeneo youa savei dakika 5 tokea mliman city. Gar linafika had kwako maji ya dawasco. Bei ni 180,000/- hakuna dalali. piga 0713401812
habari wadau kuna ofis zinapangishwa maeneo ya victoria/kijitonyama
jengo la the copycat tanzania limited zamani bmtl aliye na uhitaji huo ani pm kwa maelezo zaid
ipo standby generator
kuna maji...
Hello!
Karibu wadau wote natangaza na kutengenezewa matangazo ya biashara kwa bei nafuu
Gharama inategemea na huduma unayotaka na unafuatwa hadi ulipo ukihitaji
Napatikana Ferry, Kigamboni, Dsm...
Kipo Madale Flamingo, (Kinondoni Dar) kina ukubwa wa Meter 20x22 kinafikika kirahisi kwa gari na umeme umefika. Mimi mwenyewe ndiyo mmiliki ila sijakikatia hati bado. Bei Shiling milioni sita na...
New Model bestquality bluetoothcarkit
Supports flashdrive, externalTFcard
Supports FMChannels from 87.5 - 108.0
Bei ni 55000tzs tuu
"
Ni car charger ambayo ni imara sana yenye uwezo mkubwa wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.