Hi,
Kwa yoyote anaetaka bidhaa za (wholesale only)
1.Disposable cups, mifuko, plates (hizi bei zake ni tofauti kulingana na size)
2.Baby diapers
-Pcs 34,36,38;
-5 paket in 1 cartoon for...
Nauza hio laptop hapo tatzo n motherboard/mashine ilipiga shot, mpk inakufa ilitumia kwa miez nane, inauzwa kwa 250k top.nipo dodoma mjini, picha hizo hapo
Habarini wana Jf, Mimi nauza machine kwa order aina zozote za catering, food proccesing, production na Packaging.
Nafanya haya baada ya kuona Bongo machine hizi zinapatikana very very expensive...
Habar wana jf,naomba kubadilishana na mtu au nimuuzie simu aina ya samsung galaxy note 1,haina tatizo lolote
Nmeletewa lkn nmezoea simu ya lain 2.
Km kuuza bei ni 150,000
I am Tanzanian based in Dar es salaam and holding degree in economics. I am experienced in quantitave and qualitative research as well as data entry using SPSS, STATA, Epi Data & Ms. Excel. Not...
Wakuu,
Natafuta wapi naweza nunua miziga ya kufugia nyuki, pia naitaji na mafunzo kidogo jinsi ya kuwafuga, kwa sasa niko dar,
kama unayo tuwasiliane tafadhali
Thanks
Habari za majukumu wana JF.
TV sumsung inch 32 yenye warrantee na lisiti pamoja na Kitanda 6*6 vinauzwa.
TV sumsung tsh. 450,000
Kitanda 6*6 na godolo lake tsh. 300,000.
TV ina miezi 2 tu tangu...
Nauza nyumba ipo mbagala mwanamtoti .Nyumba Ina
-vyumba vitatu vya kulala
-Ina jiko na store
-inaumeme na maji
-Ina tiles kwa chino pia juu Ina gypsum
-pia Ina eneo lililobaki ambalo unaweza...
GA Consultancy is the leading Business Management Consulting in the region which offers high level advisory to policy makers, investors and organizations. Our Management Consulting services...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.