All catering Equipments, food production and processing Equipments

Babaanyi

Senior Member
Aug 10, 2012
114
42
Habarini wana Jf, Mimi nauza machine kwa order aina zozote za catering, food proccesing, production na Packaging.

Nafanya haya baada ya kuona Bongo machine hizi zinapatikana very very expensive, sasa kwa wajasiriamali wadogo kama sisi ni shida. But Mimi nasupply kwa bei che sana, nachukua kwa manufucturer ambaye Mimi ni agent WA online. SINA SHOW ROOM, labda mwakani, naleta kwa oder tu.

Pia kwa ushauri WA biashara za chakula, namna ya kuapata faida unayotaka, cost controlling, Food safety nk, na ujasiriamali wowote ule WA chakula, kuanza na kumanage, nasaidia hayo.

1a967429eb73acfb57c43d9186f9655f.jpg

49b256443bb18a250e6f51009b4cabbf.jpg

05b19a5d417edda80f57c9b70588f3d5.jpg

4002fdc21bb7305085d3517c83be580e.jpg

c3e44239a185111f233ffea2c35139af.jpg

135e69a08cd75506f6e4c1a541c29409.jpg
 
Andika aina ya mashine,majina na matumizi kama wewe siyo kanjanja
Zipo machine nyingi, matumizi mengi, mwenye uhitaji akihitaji nitaeleza kwa mapana.

Lakini kwa faida yako ni hivi
Hizi machine nilizoapload hapo kuna

SAUSAGE FILLER. hii inasaga nyama na kusindika kwa wale wanaotaka kutengeneza sausage zao Hasa salami inawafaa sana.

Kuna vacum packaging machine, hii inapack bidhaa zote za vyakula katika vizuri kabisa, matunda, nyama, unga nk, ni technology adimu kidogo kwa Tanzania yetu.

Kuna meat machine hapo 4 in one, hii ina shread, grind, slice na kukata nyama inatumia coper core motor.

Kuna machine ya Chips display yenye deep fryer hapo ya Gas, kwa fast foos, wachoma chips kisasa.

Kuna chicken plucked,machine za kunyonyolea kuku.

Kuna Potatoes peeler, machine za kumenya viazi, zina menya viazi kg 2000 kwa siku,

Kuna vegetables cutter, zina slice na kushread mboga mboga zote, viazi , tango nk,

Kuna deep fryers za gas na umeme, za table top and free standing,

Kuna baking ovens ,kuanzia deck moja hadi nne za gas na oven

Kuna griddle, griller za umeme na gas.

Kuna Bain marie, salamander nk

Kuna grinder,.zinasaga spice kuwa unga, kuna kusaga karanga kuwa siagi nk

Tuna Dough mixer, kukandia unga WA ngano, Chapati, mikate, nk

Tuna dough roller nk

Kuna items nyingi mpaka kitchen gadget.

Karibu mkuu.
 
Mkuu mimi sielewi hizi mambo kiivyo naomba kujua km naweza pata mashine ya kusindika jam za matunda...km nitapa basi niambie.
 
Mkuu mimi sielewi hizi mambo kiivyo naomba kujua km naweza pata mashine ya kusindika jam za matunda...km nitapa basi niambie.
Zipo machine za kusindika jam na matunda, ndio na kuna njia ya kienyeji ya kusindika hizo bila machine, moja ya technology inayotumika ni water bathing, ukisha chemsha matunda na kusaga (kulingana na maelekezo ya unachokjtengeneza) unaseal mwenye chupa kwa then chupa unazideep nusu kwenye maji na unachemsha. Inaweza kufanya hiyo kwa machine na hata bila machine. Sema machine ina efficiency zaidi. Ukihitaji machine unicheki whatsapp nikupe quote.

Asante.
 
Tafadhali neno eqiipment halina plural. Yaani singular ni equipment na uwingi wake ni equipment vilevile
 
Mkuu naomba majibu machine ya kukata nyama na kusaga napata kwa sh ngapi!?
 
Back
Top Bottom