Habari wadau,
Kwa yeyote mwenye uhitaji wa magari hayo hapo chini au any new car njoo uni private message nkusaidie. Bei zote zina maongezi
2004 Toyota Raum
Low mileage (65,000km)
Jst registered...
Infinity works tunatengeneza madirisha, milango na partitions za aluminium kwa ubora kabisa.
Ofisi zetu ziko tegeta njia ya wazo au piga simu namba 0657160252
JIPATIE BIDHAA ZIFUATAZO KWA BEI RAHISI KABISA KUTOKA ZANZIBAR.
1. TV Flat
Inch 32 Aina Star X zenye King'amuzi bei 350,000
Zipo Inch 40,50 na 55
2. Passi Philips bei 32,000/=
3. Rice Coker...
Habari wakuu.
Kama kuna mtu anamiliki Apartment.
2/3 Bedrooms.Inayouzwa
Maeneo,Upanga,Masaki,Mikocheni,City Centre,Kariakoo maeneo Salama.
Njoo Pm Offer
Tunakujengea na kukukabidhi Nyumba hii kwa
*** Tshs. 32.20 Millions tuuu!
*** Ndani siku 50 kwa Makubaliano
+255 657 685 268 - "Ni Haki Yako Kuishi Nyumba Nzuri na Salama!"
Specifications:
*...
Wadau nina simu yangu aina ya SAMSUNG MEGA PLUS kubwa, Nyeusi nimeitumia miezi 6 tu tangu itoke kweny box lake,
Sasa Nimepata shida kidogo y kuhitajika kuitatua kwa haraka na hapa sina kitu...
Salaam Wana JF
Wakuu nahitaji kupata soko au mtu ambaye ananunua simbi kwa wingi sehemu yoyote ile nitampelekea.
Simbi ni miongoni mwa bidhaa za baharini ambazo hutumika kutengenezea vyombo vya...
Natafuta kazi ya udereva leseni yng ni A. B. C. C1. C2. C3. D. E. F. G nipo dar es salaam Tanzania ajira ni ngumu wakuu naitaji mtu wa kunisaidia nipate kazi Hata kumuendesha mtu fresh tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.