Nauza Laptop, nipo Dodoma

reyzzap

JF-Expert Member
Oct 3, 2014
6,799
21,710
9b3a34e6f82e731d4c0a389d43ea6659.jpg
c801b0047327603ebe44a16ad31bf3b1.jpg
a7823bd969e38b292c11a8617c5b22c9.jpg
f9b5127fd0729b28df3766a7791dd303.jpg

Nauza hio laptop hapo tatzo n motherboard/mashine ilipiga shot, mpk inakufa ilitumia kwa miez nane, inauzwa kwa 250k top.nipo dodoma mjini, picha hizo hapo
 
Laki moja ipo nipate spare
ww nahc n fund haya twende, Battery Ya hp 6 hrs, Hdd 1tb, ram 4gb, original adapter , screen kwa hivyo tuu kwanza, kuna mtu ana shida nikija kwako na lak moja utanipa?
 
ww nahc n fund haya twende, Battery Ya hp 6 hrs, Hdd 1tb, ram 4gb, original adapter , screen kwa hivyo tuu kwanza, kuna mtu ana shida nikija kwako na lak moja utanipa?
Ukiuza hivyo unavyofikiria wewe kwa kufanya valuation ya kila spea utapata hela kubwa kuliko mpya ila mambo huwa hayaendi ivyo.
ww nahc n fund haya twende, Battery Ya hp 6 hrs, Hdd 1tb, ram 4gb, original adapter , screen kwa hivyo tuu kwanza, kuna mtu ana shida nikija kwako na lak moja utanipa?

Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
 
Ndo mana inauzwa kwa bei hilo kwa anayetaka vifaa,
,ingekua nzima dukan n 1.3M, Hapo kweny mashine kwel nimekosea
nakushauri fungua uza kimoja kimoja
Hdd- 1tb ni kuanzia 100000
Display ni kuanzia 100000
keyboard ni kuanzia 40000
Mpango ni kuanzia 25000
 
9b3a34e6f82e731d4c0a389d43ea6659.jpg
c801b0047327603ebe44a16ad31bf3b1.jpg
a7823bd969e38b292c11a8617c5b22c9.jpg
f9b5127fd0729b28df3766a7791dd303.jpg

Nauza hio laptop hapo tatzo n motherboard/mashine ilipiga shot, mpk inakufa ilitumia kwa miez nane, inauzwa kwa 250k top. 0717606641 nipo dodoma mjini, picha hizo hapo

I had this laptop, bi bei ghali kweli, Dogo Motherboard ndo laptop ndugu yangu, so hakuna kitu hapo, labda uuze parts. Sada hizi laptop hazipo nyingi,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom